Gadiel Michael, Majogolo wang' ara Afrika Kusini tarehe Novemba 28, 2024 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Nyota wa Tanzania Gadiel Michael na Baraka Majogoro wanaokipiga katika klabu ya Chippa United ya Afrika kusini jana walikuwa mzigoni katika mchezo wa Ligi Kuu ambao walipata alama moja dhidi ya SuperSport United