Bayo asaini miwili Yanga tarehe Novemba 28, 2024 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Mshambuliaji ambaye ni raia wa Uganda, Fahad Bayo amesaini mkataba wa miaka miwili katika klabu ya Yanga SC Kilichobaki anasubiri vibali kutoka TFF ambavyo Yanga SC wameambiwa vitatoka Jumatatu ijayo na ataanza kucheza mwezi ujao kuanzia tarehe 15.