Yanga Kids mabingwa wa Ligi Kuu ya vijana


Kikosi cha Vijana cha Yanga Youth (U-17) Kimetwaa Ubingwa wa ligi kuu ya Vijana kabla ya Mchezo Mmoja wa Mwisho wa ligi hiyo kutamatika,

Mpaka sasa Yanga Youth wamecheza mechi 6
Wameshinda 5
Wamedroo 1
Wamevuna alama 16

Yanga Youth 2-1 Mbeya City - Huu ndio ulikuwa Mchezo wao Uliowapa Ubingwa Yanga huku wakisaliwa na Mchezo Mmoja dhidi ya TDS,