Wallace Karia atikisa jarida la 54Foot

Picha mbalimbali za Jarida la 54Foot lililoweka habari ya Rais wa TFF, Wallace Karia kwenye ukurasa wa mbele, picha hizo zimepigwa kwenye Mkutano Mkuu wa CAF uliofanyika Addis Ababa, Ethiopia