JS Kabylie kuibomoa Yanga tarehe Oktoba 28, 2024 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Klabu ya JS Kabylie ipo tayari kuvunja mkataba wa Gamondi na Yanga ili waweze kumchukua aweze kua Kocha wao mkuu. Klabu hiyo inayonolewa na aliyewahi kua kocha wa Simba Benchika, inataka kuachana na kocha huyo ili waweze kumpata Gamondi.