Yona Amos kinara wa Cleansheets, saves Ligi Kuu bara

Yona Amos Mwakijojo golikipa wa Pamba Jiji FC ya Mwanza hajaruhusu bao katika mechi tatu za Ligi Kuu bara mpaka sasa

Kipa huyo amechukua tuzo za Man Of the Match mara mbili.

Kipa huyo anayeongoza kwa Saves ✅

Anaongoza kwa Cleansheet 3 katika mechi 3 ✅

Yona Amos alimaliza na Cleansheet 9 msimu uliopita akiwa Tanzania Prisons


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI