Yassif Basigi amrithi Mgunda, Simba Queens

Na Ikram Khamees

Timu ya Simba Queens imemtangaza Yussif Basigi (52) kuwa kochs wake mkuu akichukua nafasi ya Juma Mgunda aliyetupiwa virago.

Basigi atasaidiwa na Mussa Hassan Mgosi, kipaombele ya cha huyo ni kusajili wachezaji bora kutoka mataifa mbalimbali ikiwemo Ghana anakotokea