Yanga yatakata Ethiopia na ushindi kiduchu

Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya mabingwa Afrika, Yanga SC alasiri ya leo imeanza vema kampeni yake ya kutinga makundi baada ya kuichapa CBE SA ya Ethiopia bao 1-0 katika uwanja wa Abebe Bikila.

Mchezo ulikuwa mzuri na wa kuvutia ambapo timu zote zilishambuliana kwa zamu, lakini Yanga ilipoteza nafasi nyingi hasa mshambuliaji Prince Dube ataendelea kujilaumu.

Mfungaji wa bao pekee kwenye mchezo huo limefungwa na Dube dakika ya 45, timu hizo zitarudiana Septemba 21 mwaka huu katika uwanja wa New Amaan Zanzibar

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI