Wekundu wa Msimbazi walivyowasili Tripoli

Wawakilishi wengine wa Tanzania katika michuano ya CAF, Simba SC walifika salama jijini Tripoli kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya Al Ahli Tripoli utakaochezwa kesho Ijumaa.

Simba itacheza na Ahli Tripoli kuwania kombe la Shirikisho Afrika ikianzia raundi ya kwanza, zitarudiana tena jijini Dar es Salaam


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI