Singida Black Stars yamtaka Chasambi kwa mkopo, dirisha dogo


Kuelekea dirisha dogo la usajili , Klabu ya Singida Black Stars Ipo Mbioni kutuma Maombi ndani ya klabu ya Simba Ili kumpata Kwa Mkopo Kiungo wao wa Ushambuliaji Ladack Chasambi,

Ladack sio miongoni mwa wachezaji wa Kikosi cha Simba waliosafiri kuelekea Nchini Libya kwenye wa kombe la shirikisho Afrika,

Singida Black Stars wanajipanga kutuma maombi hayo ambayo yatakuwa na kipengele cha kuuziwa Moja kwa Moja endapo wataridhiana.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI