Singida Black Stars haikamatiki Ligi Kuu bara

Goli pekee lililofungwa na Kiungo Mshambuliaji Emmanuel Keyekeh dakika Kwanza limetosha kuwawezesha Singida Black Star kuondoka na alama zote 3 baada ya kushinda 1-0 kwenye uwanja wa CCM Kirumba dhidi ya wenyeji Pamba Jiji.

Ushindi unaowafanya waendelee kubakia kileleni mwa msimamo wa NBC Primier League ikifikisha pointi 12 na ikidhihirisha kwamba wanautaka ubingwa wa Tanzania bara


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI