Simba Queens wajazwa mil 10 ya goli la mama

Mh Gerson Msigwa Katibu Mkuu Wizara ya Sanaa Utamaduni na Michezo leo amekabidhi kiasi cha Tshs milioni 10 kwa Simba Queens kwa ajili ya GoliLaMama inayotolewa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kama motisha baada ya kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Ukanda wa CECAFA.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI