Simba, Al Ahli Tripoli ngoma suluhu

Wawakilishi wengine wa Tanzania katika michuano ya CAF, Simba SC usiku huu imeilazimisha sare tasa Al Ahli Tripoli ya Libya ya 0-0 mchezo wa raundi ya kwanza kombe la Shirikisho Afrika katika uwanja wa International Tripoli.

Kwa sare hiyo isiyo na mabao kunawapa nafasi Ahli ingawa mchezo wa marudiano Simba itakuwa nyumbani kwenye uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam mbele ya mashabiki wake.

Timu zote zilicheza vizuri huku zikishambuliana kwa zamu lakini hadi mwisho wa mchezo hakuna mbabe.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI