Silla wa Azam FC atamani kucheza timu moja na Chama, Aziz Ki

Mchezaji mahiri wa timu ya Azam FC Djibril Silla ameweka wazi kwamba anatamani kucheza timu moja na nyota Clatous Chama na Stephanie Aziz Ki.

Silla ni kama ameweka wazi mpango wake wa kujiunga na Yanga timu ambazo wanazichezea nyota hao.

“Natamani ndio kucheza na Wachezaji wakubwa kama Aziz Ki na Chama, ukicheza timu kubwa na Wachezaji wazuri maana yake kazi yako inakuwa rahisi zaidi kwahiyo ni ndoto yangu”
.
-Djibril Silla, Mchezaji mahiri wa Azam FC



Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI