Profesa Jay amshukuru Mungu kwa kusema asante

Msanii wa hip hop na mbunge wa zamani wa Mikumi kupitia CHADEMA, Joseph Haule maarufu Profesa Jay ameweka picha yake mpya ya muonekano wake wa sasa kisha kuandika ..

"Asante sana Mungu kwa zawadi ya uzima, na kunilinda siku zote za maisha yangu, Nipo kamiligado tayari kwa mapambano huku akikataa vitendo vya utekaji.

Hivi karibuni Profesa Jay alizushiwa kifo jambo ambalo liliwachanganya mashabiki wake na kupelekea msanii huyo kuja hadharani


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI