Obby Alpha hajawahi kufanya tendo la ndoa


Mwanamuziki wa nyimbo za Gospel Obby Alpha ameweka bayana kuwa hajawahi kushiriki tendo la ndoa toka alipoamua kuokoko hadi leo.

"Sijakutana kimwili na Mwanamke tangu nimeokoka nina hofu sana wa kufanya jambo Ilo kabla sijafunga ndoa"- Obby Alpha.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI