Ndugu wa kipa wa Simba kuchezesha dhidi ya Al Ahli Tripoli


Mwamuzi wa kimataifa wa Guinea, Abdoulaye Mante, mwenye umri wa miaka 35, ataongoza mechi ya marudiano kati ya Simba SC
Dhidi ya Al Ahli Tripoli Jumapili ijayo kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa 16:00.

Mante aliongoza mechi kati ya Zimbabwe na Cameroon katika kufuzu kwa AFCON tarehe 10 Septemba, na kabla ya hapo aliongoza mechi kati ya Raja Casablanca na ASGNN katika raundi ya awali ya Ligi ya Mabingwa.

Mante ni ndugu na kipa wa Simba Moussa Camara wakiwa wote wanatoka taifa moja


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI