Ndoto za kila mchezaji wa Kitanzania ni kucheza Yanga, Simba- Aziz Andambwile

Kiungo wa Young Africans SC Azizi Andambwile amesema kuwa ndoto ya kila mchezaji wa kitanzania kucheza katika timu kubwa za Young Africans SC na Simba SC kwaajili ya kuchukua makombe.

“Ukicheza timu ndogo huwezi kuchukua makombe lakini ukicheza kama Yanga SC unaweza kubeba makombe na ukawa mchezaji mkubwa”


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI