Mwamuzi wa zamani afariki dunia

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kupitia Rais wake Wallace Karia, limetuma salamu za pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na familia ya mpira kutokana na kifo cha Mwenyekiti wa Chama cha Waamuzi wa Mpira wa Miguu (FRAT), Omary Abdulkadir.

Enzi za uhai wake, Abdulkadir alikuwa mwamuzi wa FIFA na baadae alikuwa mkufunzi wa waamuzi na mpaka anafariki alikuwa Mwenyekiti wa FRAT.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI