Mtibwa Sugar yaombewa ili irudi Ligi Kuu bara


Leo Klabu ya Mtibwa Sugar ilifanya Mkutano na Viongozi wa Dini pamoja na Wazee kutoka Morogoro ili kupanga mipango mbalimbali itakayosaidia Mtibwa kupanda Ligi Kuu kwa Msimu ujao ambapo itakuwa inashiriki Michuano ya Championship.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI