Mayele ainusuru Pyramids kulala kwa APR

Bao la kusawazisha la Fiston Kalala Mayele dakika ya 83 limeiwezesha Pyramids ya Misri kwenda sare ya kufungana bao 1-1 na APR ya Rwanda katika mchezo wa Ligi ya mabingwa Afrika.

Mchezo huo wa mkondo wa kwanza uliofanyika uwanja wa Pele mjini Kigali, umesababisha timu hizo kwenda kurudiana wiki ijayo Pyramids ikiwa na faida ya goli la ugenini.

APR walitangulia kupata bao dakika ya 50 baada ya Chibi wa Pyramids kujifunga


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI