Kocha KenGold abwaga manyanga

Uongozi wa KenGold FC umekubali ombi la Kocha Fikiri Elias la kujiuzulu ndani ya KenGold FC baada ya kuifundisha kwenye michezo mitatu ya Ligi Kuu bara soka ya NBC, rasmi Fikiri Elias ameondoka KenGold FC.

"Hadi sasa nipo nje ya malengo, mimi kama mwalimu napaswa kujitathimini, nafikiria bora nikae pembeni nijitathimini na hii inaweza ikawa ndio mechi yangu ya mwisho."

Maneno ya Kocha Fikiri Elias kutoka KenGold FC.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI