Johari wa bongomuvi abeba tuzo mbili za MVA Awards 2024

Muigizaji wa BongoMovie "JohariChagula" ameshinda Tuzo 2 kwenye Tuzo za 'Music Video Awards 2024' (MVA Awards 2024) zilizofanyika nchini Nigeria usiku wa kuamkia leo.

Tuzo hizo ni.

I. Best Actress of the Year
2. Best Series of the Year 'Wimbi Series'
Hongera kwa "Johari" kuiwakilisha Tasnia ya Filamu Tanzania....


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI