Feitoto kurejea Yanga msimu ujao

Afisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe ameandika kupitia ukurasa wake rasmi wa X (zamani twitwer) “Wananchi mliom-unfollow Fei Toto, naomba mkamfollow tena... Mengine tutazungumza Jumamosi kwenye mechi pale Aman Complex (Zanzibar).”

Jumamosi, Yanga SC atakuwa kwenye Dimba la New Amaan Complex Zanzibar akikipiga na CBE SA ya Ethiopia katika mchezo wa marudiano wa Kombe la Klabu Bingwa Afrika.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI