Feitoto aiota Yanga

Kiungo mshambuliaji wa Azam FC amesema ipo siku atarejea kwenye klabu yake ya zamani ya Yanga SC.

"Ipo siku nitarejea katika klabu yangu ya zamani ya Yanga SC, kwani ninamahusiano mazuri na Rais Eng Hersi Said ni mshauri wangu, kila siku naongea nae Kama hamniamini nitawaonyesha hata SMS"

"Ofa zipo nyingi sana, suala hilo nimewaachia wasimamizi wangu, ikitokea wakapendezwa hata na Ofa kutoka Msimbazi nitacheza huko kwani niko tayari kucheza popote"

"Kinachoniumiza hapa Azam FC ni kukosa makombe, kwani naona kabisa naenda kukosa Alama ya kuacha katika klabu hii,"

Feisal Salum Fei Toto
>>Kiungo wa Azam FC

Feitoto

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI