Edo Kumwende: Simba ilikutana na timu ngumu kuliko Yanga

Mchambuzi wa michezo Edo Kumwende amedai Simba SC ilikutana na timu ngumu kuliko watani zao Yanga ambao walikutana na timu dhaifu.

"Simba walikutana na mechi ngumu kuliko Yanga, wale Al Ahli Tripoli ni wazuri kuliko CBE"

"Kinachotokea ni kwamba kuna baadhi ya timu mfano Simba,Rs Berkane nk zipo shirikisho lakini ni nzuri kuliko baadhi ya timu zilizoko Champions League"

"Kuna tofauti kati ya Bingwa wa Libya na Bingwa wa Ethiopia,"

Alisema Edo Kumwembe
Mchambuzi wa michezo


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI