Cristiano Ronaldo kucharazwa viboko 99 akiwasili Iran

Mamlaka nchini Iran zimethibitiaha kuwa hukumu ya Mchezaji Cristiano Ronaldo Bado ipo pale pale haijafutwa.

Cristiano Ronaldo amehukumiwa kucharazwa viboko 99 endapo atawasili nchini Iran.

Sababu kuu ni Cristiano Ronaldo kumkumbatia mwanamke ambae sio mke wake aki ndani ya nchi hiyo. Tukio hilo alilifanya mwaka jana 2023 waliokuwa wameenda kucheza mchezo wa klabu bingwa barani Asia.

Hukumu hiyo haina rufaa imeshapitishwa na mahakama na haifutwi,pia haiwezi tekeleswa nje ya taifa hilo,itatekelezwa endapo mhusika atakapowasili ndani ya mipaka ya taifa hilo muda wowote hata kama itachukua miaka 10.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI