Coastal Union yawa shamba la bibi

Timu ya Coastal Union ya Tanga imeendelea kuwa shamba la bibi baada ya jioni ya leo kubamizwa mabao 2-0 na Namungo FC uwanja wa KMC Complex Mwenge jijini Dar es Salaam.

Mchezo huo wa Ligi Kuu bara, ilishuhudiwa Namungo FC inayonolewa na kocha wa zamani wa Yanga Mwinyi Zahera kujipatia mabao hayo kupitia kwa Nkoli dakika ya 38 na Djuma Shabani dakika ya 45

                                 

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI