Camara aitwa tena timu ya taifa tarehe Septemba 30, 2024 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Golikipawa Simba Sports Club, Moussa Pinpin Camara ameitwa timu ya taifa ya Guinea kujiandaa na michezo miwili ya kufuzu AFCON dhidi ya Ethiopia.Guinea dhidi ya Ethiopia mechi ya kwanza itachezwa Oct 12 na mechi ya pili Oct 15,2024.Moussa Camara