Baada ya kukosa timu Ulaya, Mpanzu aitamani Simba

Dili la Winga Elie Mpanzu kujiunga na klabu moja kutoka nchini Croatia limekufa baada ya makubaliano kutokamilika

Elie Mpanzu ameiambia Menejiment yake kumtafutia timu kutoka Afrika Mashariki kucheza au Morocco


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI