AS Vita Club yakwama kwenda Afrika Kusini


Klabu ya AS Vita Club imeshindwa kusafiri kutoka DR Congo hadi Afrika Kusini kwajili ya mchezo dhidi ya Stellenbosch mpaka sasa

AS Vita Club ipo hatarini kupoteza mechi hiyo itakayochezwa ijumaa hii huku sababu ni mambo ya Utawala kwa Afrika Kusini na DR Congo

AS Vita Club bado wapo Kinshasa, DR Congo na wameandika barua kwenda CAF kuhusu tatizo hilo la Utawala wa Afrika Kusini na DR Congo kushindwa kusafiri lakini CAF hawajajibu lolote.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI