Alikiba hana mpango wa kuandaa tamasha la Crown Festival

Msanii Ali kiba anasema watu muache kukalili, sio lazima mtu akiwa na Media pia awe na Festival (Tamasha) kama Wasafi Festival au Nandy Festival.

Ikumbukwe kuwa diamond anamiliki wasafi media ana wasafi festival, Clouds wana fiesta, Tv E na E fm wana mziki mnene.

Alikiba kwa upande wake anasema hajawaza kuwepo kwa Crown Festival


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI