Alikamwe kuwanoa maafisa habari Zanzibar

Meneja wa habari na mawasiliano wa Klabu Ya Yanga Sc Ally Kamwe amealikwa kuendesha Semina ya siku 1 ya kuboresha na kuwajengea uwezo Maafisa habari wa vilabu vya Ligi Kuu Zanzibar (PBZ Premier League) leo tarehe 15, Sept 2024 katika Ukumbi wa mikutano wa Waandishi wa Habari katika Uwanja wa New Amaan Complex.




Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI