Staa wa bongomuvi anunua gari la kifahari

Staa wa msanii wa vichekesho vya mtandaoni  Clam Cris amenunua gari kali la kifahari ambalo litamfanya awe miongoni  mwa mastaa Tanzania wanaotesa na magari mazuri na ya kuvutia.

Msanii huyo ambaye kwasasa unaweza kusema ndio nambari moja akimzidi mbali Mkojani, amenunua gari kali aina ya Range Rover ni baada tu ya kurejea nchini akitokea DR Congo