Simba kujifua na Al Hilal

Agosti 31, Simba SC watacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Al Hilal .

Kocha Fadlu amehitaji mchezo wa kirafiki wa kujipima kabla ya kuvaana na Al Ahli Tripoli kwenye CAFCC.