Baada ya mchezaji mpya wa timu ya Simba SC Awesu Awesu kuposti akiwa na gari lake alilonunua kutokana na fedha za usajili alizopewa na Simba, nyota mwenzake Aziz Andambwile amemjibu kwa kuposti picha yake akiwa na gari lake.
Andambwile aliyesajiliwa na Yanga akitokea Singida Fountain Gate, ameposti picha akiwa kwenye gari lake ambalo amelipata baada ya kusajiliwa na Yanga