Azam FC yafurusha benchi lote la ufundi


Klabu ya Azam FC  imeachana na benchi lake lote la Ufundi likiongozwa na Kocha Yousouph Dabo 

Taratibu zote za uvunjwaji wa mikataba umeshamalizika na benchi la Ufundi limeshalipea stahiki zao