Azam FC kumpiga bei Feitoto msimu ujao

Baada ya kiungo mshambuliaji Feisal Salum (26) kukataa kuongeza mkataba mpya wa miaka miwili katika klabu ya Azam

Azam wamepanga kumuweka sokoni kiungo huyo katika dirisha kubwa lijalo la uhamisho

Ofa zitakazopewa kipaumbele zaidi ni kutoka nje, ingawa Fei mwenyewe anataka kucheza Simba timu ambayo ipo moyoni mwake licha kwamba alichezea Yanga