Ateba kutesti mitambo na Al Hilal Omdurman tarehe Agosti 30, 2024 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Mshambuliaji mpya wa Club ya Simba SC raia wa Cameroon Leonel Ateba Mbida atatumia jezi namba 13 akiwa Simba SC.Atacheza kwa mara ya kwanza akiwa katika jezi ya Mnyama kesho Jumamosi dhidi ya Al Hilal Omdurman katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki