Shirikisho la soka Afrika, CAF limetoa orodha ya vilabu (24) vitakavyoshiriki michuano ya African Football League itakayofanyika mwaka ujao nchini Afrika Kusini kuanzia Januari 11 mpaka 9 Februari 2025.
CECAFA ZONE (4) :
Young Africans SC
Simba SC
Al-Hilal Omdurman
Al-Merrikh
COSAFA ZONE (4)
Mamelodi Sundowns
Orlando Pirates
Petro Atletico de Luanda
Marumo Gallants
UNAF ZONE (8) :
Al Ahly Cairo
Wydad Casablanca
RS Berkane
Zamalek SC
Raja Casablanca
USM Alger
CR Belouizdad
Esperance Tunis
UFOA & UNIFFAC ZONE (8) :
TP Mazembe
ASEC Mimosas
Horoya AC
Rivers United
Cotton de Garoua FC
Nouadhibou
AS Vita Club
Enyimba