Mapya, Kibu Denis arudisha pesa zote za Simba tarehe Julai 24, 2024 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Kibu Denis amerudisha pesa zote za signing fee alizopewa na Simba SC kupitia Bank ya MMB kwenye account ya Simba,Kibu Denis yuko Norway kwa ajili ya mapumziko."Sisi tunamtambua Kibu Denis kuwa bado ni mchezaji wetu, mchezaji wetu mtoro"