YAMMY AMFUKUZISHA MKE KWA BARNABA
Baada ya Barnaba kuachia picha za wimbo mpya akiwa na yule bint kitovu nje Yammy tz, huku Yammy akiwa nusu uchi na mchupi kama mcheza X, mke wa Barnaba Raya (Pichani) anayesifika kwa ubabe ameshindwa kuzuia povu lake amekimbia nyumbani na cm hapokei
Picha iliyozua gumzo na Sms Raya aliyomtumia Barnaba nmekuekea hapo chini kwenye comments. Hizi couple za wasanii haziish vituko aisee