KOCHA MPYA WA TABORA UNITED KUFUNGASHA VIRAGO

Kocha mpya wa Klabu ya Tabora United, Denis Laurent Goevec anatarajia kuondoka klabuni hapo baada ya kutoridhishwa na mazingira ya kazi, Denis Laurent Aliamini Mazingira ya Tabora ni Kama ilivyo Dar Es Salaam.

Huku CEO wa klabu hiyo Thabithy Kandoro ameandika barua ya kujiuzulu nafasi yake Baada Ya Mambo Ndani ya Timu Kuto Kwenda Katika mpangilio Mzuri wa Kumfanya Afanye Majukumu yake.

Pia Baadhi ya wachezaji wamegomea Mazoezi wakishinikiza kulipwa madeni yao Wanayo Yadai kwa Muda Sasa.

Muda wowote Masoud Djuma Irambona anaweza akatangazwa kama kocha mkuu wa Tabora United, Masoud Djuma Ambaye Hapo Awali Alienda Tabora United Kama Msaidizi wa Kocha Denis Laurent Ambaye Anaondoka Klabuni Hapo Kutokana na kutoridhishwa na Mazingira ya Kazi.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI