YANGA NA AIR TANZANIA WAINGIA MKATABA tarehe Aprili 24, 2024 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Timu ya wananchiii Yanga rasmi imeingia mkataba wa miaka miwili na shirika la ndege Air Tanzania.Mkataba huu wa Yanga na Air Tanzania utakwenda kugusa..Yanga watapata punguzo la Bei Kwa safari zao zote za ndani ya nchi na nje ya nchi.