WATANO WAPYA WA GAMONDI HAWA HAPA

Baada ya Miguel Gamondi kukabithi ripoti kwa uongozi wa klabu ya Yanga kuhitaji kusajiliwa wachezaji 5 katika msimu ujao na baadhi ya wachezaji wanaomaliza mikataba yao waongezewe mikataba na mpaka sasa Uongozi wa klabu ya Yanga ya imeanza mazungumzo na wachezaji hawa.

1. Beno Kakolanya-Singida Fountain Gate
2. Yusuph Kagoma- Singida Fountain Gate
3. Frank Carlos Zouzou- Asec Mimosas
4. Serge poku- Asec Mimosas
5. Khanyisa Mayo- Cape Town.

Mpaka sasa klabu ya Yanga itawaongezea wachezaji hawa wanaomaliza mikataba yao.

1. Djigui Diarra
2. Bakari Mwamnyeto
3. Clement Mzize.
4 . Stephanie Aziz Ki.

Na wengine wataboreshewa mikataba yao kutokana na kiwango nzuri walichokionyesha,Yanga imepanga kumaliza usajili mapema ili kuruhusu utambulisho ufanyike mapema kabla ya Ligi Kuu kuanza.