KAMBOLE AIPONZA YANGA, YAFUNGIWA NA FIFA tarehe Aprili 30, 2024 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine FIFA imewafungia Yanga ya Tanzwnia kufanya usajili wa Kimataifa hadi watakapomlipa Lazarus Kambole ambae anadai fidia ya kuvunjiwa mkataba wake na malimbikizo ya mshaharaTFF nao wameifungia Yanga kufanya usajili wa ndani kutokana na kosa hilo