Mshambuliaji wa zamani Wa Genda Marin ambaye pia alishaitajika na Simba katika sajili mbali mbali Victorien Adebayor amejiunga na Singida Black Stars Zamani ikiitwa Ihefu.
Makubaliano Binafsi ya kimkataba yamefikiwa na sasa Rasmi atajiunga na Singida Black stars kuanzia msimu ujao.
Adebayor amesaini mkataba Wa miaka miwili Mpaka 2026 Kwa makubaliano ya kuongeza mkataba mwigne pindi utakapoisha.
Adebayor alikuwa akicheza AS Garde Kwa mkopo na atasafiri kuja Tanzania mwenzi Wa sita.
Ni Usajili mwingne Kwa Singida Black stars Baada ya kuinasa Saini ya Golikipa namba Moja Wa Gunie Kamara