YAMMI HAJAWAHI KUWA NA MPENZI

Mwimbaji wa Bongofleva kutoka The African Princess Label, Yammi amesema katika maisha yake hajawahi kuwa na mpenzi!.

"Sina mwanaume, bado, sijawahi kuwa naye (mpenzi), sijawahi kuwa katika mahusiano kabisa," amesema Yammi.

Princess Yammi hajawahi kuwa na mpenzi