Ley Matampi wa Coastal Union ndiye kinara wa Clean Sheets ndani ya Ligi Kuu ya NBC akiwaacha Yona Amosi , Constantine Malimi , Djigui Diarra na John Noble na Jonathan Nahimana wakifuatia .
Baada ya kupata clean Sheets dhidi ya Dodoma Matampi anaweka rekodi ya kucheza michezo minne mfululizo ya Ligi Kuu ya NBC bila nyavu zake kuguswa.
Kumbuka Matampi ndiye Golikipa mwenye mafanikio zaidi ndani ya Ligi Kuu ya NBC akiwa ni mshindi wa CAF Champions League, CAF Confederation Cup bila kusahau ChAN 2016 akiwa na timu ya Taifa ya Congo DR 🇨🇩 mechi zote akikaa langoni.
JE NANI KUWA KIPA BORA MSIMU HUU NDANI YA LIGI KUU YA NBC???
1. Ley Matampi 👉8 Clean Sheets 🥅
2. Yona Amosi 👉6 Clean Sheets 🥅
3. Constantine 👉5 Clean Sheets 🥅
4. Djigui Diarra 👉 5 Clean Sheets 🥅
5. John Noble 👉 5 Clean Sheets 🥅
6. Nahimana 👉 4 Clean Sheets 🥅
