TSHABALALA USO KWA USO NA SIPHIWE TSHABALALA


Mohamed Hussein 'Tshabalala' kutoka Tanzania na Siphiwe Tshabalala kutoka Afrika kusini wamekutana huko Nchini Ivory Coast  ambako inafanyika Michuano ya #TotalEnergiesAFCON2023

Siphiwe Tshabalala ndiye mmiliki halisi wa jina la Tshabalala huku Mohamed Hussein akitumia jina la Tshabalala kama jina lake la Utani.